QUEEN kutoka kiwanda cha Bongo Movie, Irene Uwoya usiku wa kuamkia leo Octoba 3, amefanya kufuru kwa mara nyingine kwenye harusi ya mtangazaji wa kipindi cha ICU Kwisa, baada ya kumwagia minoti ya kutosha.