
Hazel Oyeye (29) maarufu kama Whitemoney kutoka mji wa Enugu ametangazwa kuwa mshindi wa kwanza wa tuzo za Big Brother Naija #BBNAIJA Msimu wa Sita zilizotamatika usiku huu huku akiwabwaga wapinzani wake Pere, Cross, Emmanuel na Angel.

Kutokana na ushindi huo, Whitemoney atapewa zawadi yenye thamani ya Naila milioni 90 (sawa na Tsh milioni 504.24).

Nafasi ya pili imeshikwa na mwanadada Liquoros ambaye ndiye ameibuka kinara kwa upande wa wanawake.
Katung Aduwakwey alishinda msimu wa kwanza mwaka 2006, Efe Ejeba (2017), Miracle Ikechukwu (2018) na Mercy Eke (2019), Laycon 2020.
Big Brother Nigeria 1 Katung Aduwak $100,000
Big Brother Naija 2 Efe Ejeba N25,000,000
Big Brother Naija 3 Miracle Igbokwe N45,000,000
Big Brother Naija 4 Mercy Eke N60,000,000
Big Brother Naija 5 Olamilekan Agbeleshe N85,000,000.
View this post on Instagram