×

Mchungaji Kutoka Marekani Afunguka – “Rais Samia Ana Busara, Kila Taifa Linaizungumzia Tanzania”-Video

Muhubiri kutoka nchini Marekani ameipongeza serikali ya Tanzania kwa juhudi zake za kupambana na janga la Corona huku akisisitiza watu kumwamini Mungu kwa Kila jambo. Muhubiri huyo ambaye atafanya mkutanao wa maombezi wa siku nne katika viwanja vya kanisa la TAG Igoma jijini mwanza.

Leave a Comment