Wiki ya mtoto wa kike ulimwenguni hapa nchini ilizinduliwa jana Jumanne Katika Hoteli ya Regency Park iliyopo Mikocheni Dar. Katika uzinduzi huo ambao kilele chake kitafanyika Oktoba 10 na 11 Kibiti mkoni Pwani.