MSANII wa Bongo Fleva Omary Faraji Nyembo, maarufu kama Ommy Dimpoz, usiku wa kuamkia leo kwenye Listening Party ya albam ya Mfalme Ali Kiba ‘Only one King’ amefunguka jinsi msanii huyo alivyookoa maisha yake.