Clinton Joseph ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa mji wa Babati mkoani Manyara, kijana huyu ni miongoni mwa vijana nchini Tanzania waliobuni mashine ya kutengenea vifungashio kwakutumia karatasi Ambapo amesema humgarimu shilingi million 1 na laki 5 mpaka kukamilisha mashine hiyo.
Global Online Tv imezungumza kwa kina na kijana Clinton juu ya ubunifu wake huo ambao umelenga kunusuru uharibifu wa mazingira.