×

Rais Samia Aatia Neno, Diamond, Alikiba, Zuchu na Rosa Ree AFRIMMA- Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewapongeza baadhi ya wasanii ambao ni Diamond Platinumz, Alikiba, Zuchu, Rosa Ree na wengine kwa kuchaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA nchini Marekani.

Leave a Comment