×

Rais Samia Akiwaapisha Viongozi Ikulu Chamwino – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 11, 2021  anawaapisha viongozi wateule ikulu Chamwino, Dodoma.

Viongozi walioapishwa ni;
1. Mhe. Sophia Edward Mjema, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
2. Mhe. Jaji Omar Othman Makungu, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania.
3. Mhe. Jaji Mustapha Siyani, kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

 

Leave a Comment