MKUU wa kitengo cha maduka na bidhaa za Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga (kushoto) akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), simu janja ( Samsung Galaxy Z Fold3 na ZFlip3) mpya zilizozinduliwa nchini Tanzania kwa ushirikiano na Samsung Tanzania. Kulia ni Meneja wa Samsung Electronics Tanzania, Suleiman Mohamed.
