×

Hatimaye Mtoto Mwenye Virusi Vya Ukimwi Apata Msaada Kutoka Global Group-Video

Mkuu wa Idara ya Fedha wa Makampuni ya Global Group, Shamim Mshana akitoa msaada wa chakula kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni hayo, Mhe. Eric Shigongo kwa kijana Frank Maziku anayeishi na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

 

Kijana Frank alifika na kutoa ushuhuda wake pamoja na magumu anayopitia katika maisha kupitia kipindi cha #Mapito kinachorushwa kupitia +255Globalradio kila siku ya Jumapili kuanzia Saa 5:00asubuhi hadi saa 6.00 mchana, jambo ambalo lilimgusa Shigongo na kuamua kutoa kidogo alicho nacho kumsaidia kijana huyo.

Leave a Comment