
Aliyekuwa Kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Diwani wa Kata ya Sombetini aliyemaliza muda wake, Ally Bananga leo Oktoba 17, 2021 ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi na kupokelewa na Mwanyekiti wa CCM Jijini Arusha.
