Global Tv ilimtembelea bwana Ernest Komba a.k.a Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao majumbani, Kigamboni Chama jijini Dar es Salaam na kufanya nae mahojiano mbalimbali kuhusiana na cheo hicho alichojipa ambapo alifunguka mambo mengi kubwa kabisa kuwa yeye ndio muhanga namba moja aliyewahi kuchezea kichapo kikali kutoka kwa mkewe ambaye kwa hivi sasa wameshatengana habari nzima fuatilia Global Tv Online @globaltvonline.