Hivi ndivyo ndege za kivita zilivyopamba sherehe za Mashujaa nchini Kenya, ambapo pia Rais Uhuru Kenyatta alitangaza rasmi kuondolea kwa amri ya watu kutotembea nje usiku.