Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha nje cha miezi sita aliyekuwa Rais wa Simba, Evans Aveva kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi huku Godfrey Nyange maarufu Kaburu akiachiwa huru baada ya mahakama hiyo kutomkuta na hatia.