×

Machinga Wapewa Siku 3 Kuondoka Katikati Ya Jiji-Video

Mkuu wa mkoa arusha John Mongela ametangaza siku 3 kwa wafanyabiashara machinga arusha kuondoka maeneo ya katikati ya jiji kuanzia tar 1 mwezi novemba na kuanza kuhamia maeneo tengefu ambaya wametengewa na jiji hilo kwa ajili ya kufanya biashara zao baada ya kujiridhisha miundo mbinu ya maeno hayo imekamilika kwa asilimia 100 amabyo amepita kuyakagua kabla ya kutoa uamuzi huo

Leave a Comment