×

Rais Samia Akutana na Mjumbe wa Waziri Mkuu wa Uingereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan Jana OKtober 31,2021 amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya Biashara, Lord Walney katika mji wa Glasgow, Scotland.

 

Leave a Comment