×

Rais Samia Afungua Mkutano wa Kumbukumbu Maisha ya Maalim Seif – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Kumbukumbu ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad visiwani Zanzibar.Maalim Seif amewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani Zanzibar, alifariki mnamo Februari 17, 2021.

 

Leave a Comment