×

Mume Asimulia Jinsi Mkewe Alivyonyongwa Hadi Kufa- Video

Kijana wa kazi za nyumbani ‘house boy’ ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sasa, anadaiwa kutenda unyama mkubwa kwa kumuua bosi wake, Cecilia Anselm Sogomba kwa kumnyonga kwa kamba ya katani kisha kutokomea kusikojulikana.

 

Tukio hilo la kikatili limetokea Jumatatu ya Novemba Mosi, 2021 katika Mtaa wa Bombani, Kata ya Pugu jijini Dar es Salaam ambapo Global TV Online imefika eneo la tukio na kuzungumza na mume wa marehemu, Elisha Sogomba ambaye kwa uchungu anaelezea jinsi tukio hilo lilivyokuwa.

Leave a Comment