×

Niliota Nakimbizwa Na Nyoka, Kuamka Asubuhi Siwezi Kutembea-Video

Mwajuma Kidanga (43) Mkazi wa Mbwewe Tanga ambaye amelala kitandani kwa Takribani Miaka 15 huku chanzo cha tatizo lake ni cha kustaajabisha.

 

Kwa sasa Mwajuma hana uwezo wa kutembea, kusikia wala Kuzungumza

 

Global Jamii Team Ikafunga safari kutoka Makao Makuu yaliyopo Sinza Mori Jijini Dar es Salaam, Ikiwa ni Umbali wa takribani Kilomita 198 Mpaka Mbwewe ili kumfikia Mwajuma Kidanga

 

KAMA UMEGUSWA NA TUKIO HILO MAWASILIANO NI 0746301252 AU 0714 207395

Leave a Comment