×

Mbosso ft Zuchu – For Your Love (Galagala) Music Video

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mbosso ameachia video yake ya wimbo wake mpya wa For Your Love (Galagala) ambao amemshirikisha Mwanadada wa moto kunako Bongo Fleva, Zuchu kutoka Lebo ya Wasafi.

Leave a Comment