×

Mobeto na Fahyma Kama Pacha

WANAMITINDO wa kimataifa Bongo, Hamisa Mobeto na Fahyma wamejikuta wakishinda tuzo mbalimbali na kuwafanya kujitengenezea upekee wao kama pacha.

Mwaka huu Mobeto na Fahyma wameshinda Tuzo za Scream 2021 za nchini Nigeria ambazo hutolewa kwa vijana waliofanya vizuri kwenye sekta mbalimbali barani Afrika.

Hamisa alishinda Kipengele cha Brand Influencer of the Year huku Fahyvma akishinda Social Media Influencer.

Hizo ni tuzo za pili kushinda pamoja ambapo awali kwa nyakati tofauti walishinda Tuzo za Starqt za mitindo zinazofanyika nchini Afrika Kusini.

Leave a Comment