×

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa 20 Wa Taasisi ya Fedha Nchini-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kushiriki Mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha nchini, ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Leave a Comment