×

Tunda Avunja Ahadi Yake ya Kujiua


Mchumba wa msanii Whozu Cappuccino Tunda amevunja ahadi yake ya kutaka kujiua endapo asipoolewa mwaka huu kwa sababu kuna vitu vimemshawishi kwenye maisha ya u-single.

Kupitia Insta Story yake Cappuccino Tunda ameandika kwamba; “Nilisema mwaka huu nisipoolewa najiua, kuna marekebisho ya kiufundi yamejitokeza nasogeza hadi mwakani mweiz kama huu”.

“Kuna vitu vimeni-inspire kwenye maisha ya u-single nimeona niendelee kubaki single….”

Ikumbukwe Tunda tayari ameshavalishwa pete ya uchumba na Whozu na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.

Leave a Comment