Rais Samia Amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya Global Publishers December 4, 2021 4,662 views 0 Comments SHARE THIS: Rais Samia amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya wawili (Moshi na Karatu) kwa kuwahamisha vituo vya kazi huku akiteua mkuu wa wilaya mmoja. SHARE THIS: