
MTANGAZI wa Cluds FM, Mwijaku amemshauri bosi wa Wasafi, Diamond Platinumz kuona ili aione raha ya maisha badala ya kuendelea kuwa bachala.
Mwijaku ametoa kauli hiyo usiku wa leo alipokaribishwa na Diamond kuzungumza wakati wa Uzinduzi wa Wasafi Bet, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.