GLOBALJAMII wiki hii na Daniel Joseph (26) Mkazi wa Dar es salaam ambaye amepoteza muonekano wake halisia baada kupata ajali ya shoti ya umeme Mkoani Kilimanjaro wakati akiwa katika shughuli zake ambapo katika tukio hilo mwenzie aliyekuwa nae amepoteza kabisa kumbukumbu na Kwa sasa kijana Daniel hana makazi ya Kuishi.
UNAWEZA KUMSAIDIA CHOCHOTE KUPITIA NAMBA +255686162614 ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8