
Unaambiwa Staa wa Muziki Duniani, Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya ‘Patek Philippe Tiffany Blue Nautilus 5711’ yenye thamani ya Dola Milioni 6.5 sawa na Tsh Bilioni 14.
Saa hiyo ambayo inatajwa kuwa na gharama kubwa duniani ameonekana nayo siku za hivi karibuni wakati anaitangaza filamu yake ya The Harder They Fall kupitia Netflix, vuta kushoto kumuona akiwa na saa hiyo.