Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewaitaka wabunge wake, Humphrey Polepole, Jerry Silaa na Askofu Josephat Gwajima kuwasikiliza kutokana na mienendo yao.