Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano Maalum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)uliofanyika kwa njia ya Mtandao leo tarehe 22 Desemba 2021 Ikulu Jijini Dr es Salaam.