×

Mchezaji Al Ahly Afariki Dunia kwa Sumu

MSHAMBULIAJI wa zamani wa vilabu vya Africa Sports, Esperance na Al Ahly, Oussou Konan amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 32 mjini kwao huko Ivory Coast.

Awali ilisemekana amefariki kwa ugonjwa tu, lakini ripoti zaidi zinasema aliwekewa sumu alipokwenda kumtembelea ndugu yake, amesema Nguyen Minh Chau ambae ni Wakala wa mchezaji huyo.

Kabla ya mauti kumkuta alikuwa akichezea klabu ya Al-Bukiryah ya Saudi Arabia.

Konan alijiunga na Al Ahly msimu wa mwaka 2012-2013 akitokea Misr Lel-Makkasa ambapo alisaini mkataba wa kuitumikia Ahly kwa miaka mitatu lakini baadae alitolewa na mkopo kwenda Hajer.

Personal information
Full name Oussou Konan Anicet Harian Maxmalon
Date of birth January 23, 1989
Place of birth AnyamaIvory Coast
Date of death January 3, 2022 (aged 32)
Place of death Yopougon
Height 1.81 m (5 ft 11 in)[1]
Position(s) Striker
Club information
Current team
Al-Bukiryah
Number 7
Youth career
Africa Sports
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2006–2008 Africa Sports
2008–2010 Espérance
2008 → Stade Tunisien (loan)
2009 → AS Marsa (loan)
2010–2012 Misr Lel-Makkasa 23 (11)
2012–2013 Al Ahly 0 (0)
2013 → Hajer (loan) 9 (1)
2013 Gaziantep B.B. 10 (1)
2014 HJK 18 (4)
2014–2016 Tala’ea El-Gaish (6)
2016–2017 Saham
2017 CA Bizertin 4 (0)
2018–2019 San Pédro
2019–2020 Stade Lausanne 18 (2)
2021 Nam Dinh 10 (7)
2021 Al-Bukiryah

Leave a Comment