×

Live: Mwili Wa Mwandishi, Abel Ngapemba, Unaagwa Nyumbani Kwao, Vilio, Majonzi Yatawala..


MWILI wa aliyekuwa afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Mwanza, Abel Ngapemba, umeagwa leo Januari 13, nyumbani kwao Bunju, na kisha kusafirishwa kuelekea Ifakara kwa ajili ya mazishi. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment