×

Defao Azikwa Kitaifa DRC

MWAMAMUZIKI wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo François Lulendo Matumona, maarufu General Defao amezikwa Jumamosi hii katika mazishi ya kitaifa.

Defao alifariki mwezi Desemba mwaka jana katika hospitali Laquintinie huko Douala, Cameroon, ambako alikuwa akipatiwa matibabu ndugu na jamaa zake wanasema mwanamuziki huyo hakuacha mtoto.

 

Wanamuziki wenzake na mashabiki wake waliohudhuri mazishi hayo wakiwa wamevalia mavazi ya bei ghali wakidai pia Defao alikuwa mmoja wao, na wanafanya maonesho ya mavazi.

Leave a Comment