×

Msami Baby Afunguka Kurogwa na Msanii Mwenzake

Msanii wa Bongo Fleva, Msami Baby kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuhusiana na kurogwa na msanii mwenzake na ana ushahidi wa sauti yake akiongea na mganga.

Leave a Comment