Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu kwenye kongamano la kumtakia heri ya kuzaliwa na baraka za mwaka mpya lililoandaliwa na viongozi mbalimbali wa dini na kuwaomba waendelee kumuombea ili aweze kuifanya vyema kazi yake na kuendelea kulitumikia Taifa kwa sasa na baadaye.