Jumapili hii kwenye mapito kutana na kijana Mursil anayesumbuliwa na tatizo la kutokuwa na sehemu ya kutolea haja kubwa anaomba wadau wamsaidie matibabu kutokana na hali ngumu ya maisha anayopitia kama una chochote unaweza kumsaidia kupitia namba (0625-188713)faraji lihuka.
Kwa sasa hawezi hata kumudu pesa ya kununulia mipira kwa ajili ya kutolea haja