×

Auawa kwa Tuhuma za Kutengeneza Radi

MWANANCHI mmoja mkazi wa Halmshauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi, Baraka Kabisu, ameuawa na wananchi wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa ni mchawi anayetengeneza radi, ambayo ilikwenda kumpiga Anjelina Revocatus na kufariki dunia. Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi ACP Sylverter Ibrahimu, amesema tukio hilo limetokea Januari 24, 2022.

Leave a Comment