×

Rais Samia Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa IFC, Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Februari 3, 2021 amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya Mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.

Leave a Comment