Rais Samia Amuapisha Angeline Mabula Kuwa Waziri wa Ardhi Ikulu Dodoma
Global Publishers February 9, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha, Angeline Mabula kuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.
Rais Samia akishuhudia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Ardhi, Angeline Mabula na Naibu Waziri wa Ardhi, Ridhiwani Kikwete mara baada ya kumuapisha Waziri Mabula katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.Rais Samia akizungumza jambo na Waziri wa Ardhi Mhe. Angeline Mabula na Naibu Waziri wa Ardhi Mhe. Ridhiwani Kikwete mara baada ya kumuapisha Waziri Mabula katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 09 Februari, 2022.