×

Rais Samia Atua Ikulu ya Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Elysée, Paris nchini Ufaransa leo Jumatatu, Februari 14, 2022.

Rais Samia Suluhu Hassan aliwasili katika Ikulu ya Elysée, kwa ajili ya mazungumzo na Rais Macron.

Leave a Comment