×

Tanzania Yashika Nafasi ya 21 Unafuu wa Kununua Gb 1

MAMLAKA   ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema Tanzania ni moja kati ya Nchi 155 Duniani ambazo Intanenti yake ni gharama nafuu.

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri K. Bakari amesema kati ya Nchi 155 Ulimwenguni, Tanzania inashika nafasi ya 21 kwa unafuu wa gharama za kununua GB 1.

 

Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza katika mjadala kuhusu Maendeleo katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia -ya Habari, katika kipindi cha Mwaka mmoja wa utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

 

Leave a Comment