×

Kiiza Akubali Muziki Wa Mayele- Video

BAADA YA  90 za mtanange wa ligi kuu bara mzunguko wa pili kati ya, Yanga dhidi ya  Kagera Sugar, kumalizika  kwa wananchi kuichapa   Kagera kwa mabao 3 – 0 msambuliaji wa Kagere Hamisi Kiiza amefunguka mengi kuhusiana na ubora wa yanga msimu huu.

Leave a Comment