×

Rais Samia Akutana na Mbowe Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 March, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  leo Machi 4, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 March 2022 .

 

Leave a Comment