×

Rais Samia Ashiriki Ufunguzi Wa Makao Makuu Benki Ya CRDB-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Leo Machi 05, 2022 ameshiriki ufunguzi wa makao makuu mpya ya CRDB, katika viwanja wa Gym Khana Jijijini Dar es saalam.

Leave a Comment