MBUNGE wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo ametembelea zahanati na shule zinazoendelea kujengwa katika jimbo hilo ambapo ametoa salamu kwa watumishi wote watakao shiriki kufanya ubadhilifu wa fedha za maendeleo zinazotolewa na serikali ya Rais Samia.