Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani Vodacom Yapinga Ukatili wa Kijinsia
Global Publishers March 9, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia akizungumza kwenye mkutano wa kupinga ukatili wa kijinsia (Ring a bell) ulioenda sambamba na maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani jana, mkutano huo uliandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na UN Global Compact.