Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa UN Women Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Dkt. Maxime Houinato alipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 09 Machi, 2022.