Breaking: Waziri TAMISEMI Awashusha Vyeo Wakuu wa Vitengo 23
Global Publishers March 13, 2022 0 Comments
SHARE THIS:
#BREAKING Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Innocent Bashungwa amewashusha vyeo wakuu wa vitengo vya manunuzi na ugavi wapatao 23 kutoka kwenye mamlaka ya Serikali za Mitaa nchini.