×

Live: Spika Tulia Anaongoza Kongamano La Tathmini Ya Mwaka 1 Wa Rais Samia

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson leo Machi 19, 2022 anaongoza kongamano la tathimini ya mwaka mmoja wa uongozo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, tangu aingie madarakani.

Leave a Comment