×

Video: Mama Janeth Magufuli Ashiriki Kongamano La Kumuenzi Mume Wake

Mke wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, Mjane Mama Janeth Magufuli, Leo Machi 20 ameshiriki katika Kongamano la Tanzania Young Catholic Students (TYCS) Jimbo Kuu la Mwanza, lililoandaliwa maalum kwa ajili ya kumuenzi Hayati Magufuli.

 

Kongamano Hilo limefanyika katika kanisa la Kawekamo Mwanza, ambapo Limeambatana na Misa ya kumshukuru Mungu kwa mwaka mwa masomo 2022.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment