×

🔴LIVE: Mrema Anafunga Ndoa Muda huu Kanisani na Mrembo wake Mweupe..

MWENYEKITI wa TLP, Agustino Mrema, leo Machi 24, anafunga ndoa na mrembo wake mweupe katika moja la kanisa lililopo mkoani Kilimanjaro.

Leave a Comment